Loading...

Mbunge Chadema apata ajali

Mbunge wa CHADEMA Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa
Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA),Jesca Kishoa amepata ajali wakati akielekea bungeni leo baada ya gari yake kugongana na gari jingine.

Kwa taarifa chama hicho inaeleza kuwa Mbunge huyo amepata ajali maeneo ya mataa njia panda ya Area D.

Hata hivyo Kishoa amelazwa kwa muda Zahanati ya Bunge akiendelea kuangaliwa hali yake kwa matibabu zaidi.

Mbunge wa CHADEMA (VM) Mkoa wa Singida, Bi. Jesca Kishoa amepata ajali wakati akielekea bungeni leo baada ya gari yake kugongana na gari jingine maeneo ya mataa njia panda ya Area D. Amelazwa kwa muda Zahanati ya Bunge akiendelea kuangaliwa hali yake kwa matibabu zaidi.
Mbunge Chadema apata ajali Mbunge Chadema apata ajali Reviewed by Zero Degree on 5/11/2018 01:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.