Loading...

Hii hapa orodha ya wachezaji 10 wazalendo kwenye Ligi kuu ya Uingereza [EPL]

Francesco Totti alitajwa kuwa mwanasoka mzalendo kwa klabu yake katika bara la Ulaya, akiwa ameitumikia AS Roma kwa muda wa miaka 24 tangu kuonekana kwa mara ya kwanza machi 1993.

Je, kwa upande wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] ni wachezaji gani wazalendo zaidi? Hapo chini tumekuorodheshea wachezaji 10 ambao wamekuwa wazalendao kwa klabu zao kwa kuzitumikia kwa muda mrefu zaidi.
  1. Chelsea: John Terry (Miaka 18 na nusu)

  2. Manchester United: Wayne Rooney (Miaka 12 na nusu)

  3. Arsenal: Theo Walcott (Miaka 11)

  4. West Ham: Mark Noble (Miaka 10)

  5. Everton: Leighton Baines/Phil Jagielka (Miaka 9 na nusu)

    Leighton Baines
    Phil Jagielka
  6. Leicester City: Andy King (Miaka 9 na nusu)

  7. Liverpool: Lucas Leiva (Miaka 9 na nusu)

  8. Stoke City: Ryan Shawcross (Miaka 9 na nusu)

  9. Swansea City: Angel Rangel (Miaka 9 na nusu)

  10. West Brom: James Morrison/Chris Brunt (Miaka 9 na nusu)

    James Morrison
    Chris Brunt
Hii hapa orodha ya wachezaji 10 wazalendo kwenye Ligi kuu ya Uingereza [EPL] Hii hapa orodha ya wachezaji 10 wazalendo kwenye Ligi kuu ya Uingereza [EPL] Reviewed by Zero Degree on 3/01/2017 10:48:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.