Mchezaji anayetabiriwa kuwa wa kwanza kusajiliwa na Conte kwa ajili ya msimu ujao
Kama ambavyo ripoti zinadai, Mabosi wa Ligi ya Ufaransa, PSG pia walikuwa wanamsaka kiungo huyo wa Monaco lakini matamanio makubwa ya Bakayoko ni kuelekea London.
Nyota huyo mwenye miaka 22 anaripotiwa au anatabiriwa kuwa Mchezaji wa kwanza atakayesajiliwa na Antonio Conte katika majira haya ya joto na anategemewa kushirikiana katika kiungo na N'golo Kante katika 'First Eleven' msimu ujao.
Ripoti pia zinasema kwamba, Nemanja Matic sasa atakua huru kuondoka Stamford Bridge. Rai huyo wa Serbia alikuwa anahusishwa na klabu kama Manchester United na Juventus mwaka jana.

Bakayoko, Kiungo mwenye umri wa miaka 22 anayetajwa mmoja wa viungo wenye ujuzi wa hali ya juu barani Ulaya kwa sasa na ni klabu chache ambazo zinamhitaji.
Mchezaji anayetabiriwa kuwa wa kwanza kusajiliwa na Conte kwa ajili ya msimu ujao
Reviewed by Zero Degree
on
6/10/2017 02:51:00 PM
Rating: