Loading...

Video: Hii hapa ngoma mpya ya Nikki Wa Pili akimshirikisha G Nako – 'Quality Time'


Msanii kutoka Kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameachia video mpya ngoma yake mpya. Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la ‘Quality Time’, amemshirikisha G Nako, video imeongozwa na Hanscana.

Video: Hii hapa ngoma mpya ya Nikki Wa Pili akimshirikisha G Nako – 'Quality Time' Video: Hii hapa ngoma mpya ya Nikki Wa Pili akimshirikisha G Nako – 'Quality Time' Reviewed by Zero Degree on 6/06/2017 10:47:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.