Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva nchini, 'Matonya' ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Nifungulie’, tazama hapa chini alafu toa komenti yako, video imeongozwa na Mims.
Video: Wimbo mpya wa Matonya – 'Nifungulie'
Reviewed by Zero Degree
on
6/06/2017 11:25:00 AM
Rating: 5