Kiungo James Kotei amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea tena Simba. Awali Kotei raia wa Ghana alikuwa na mkataba wa miezi sita tu Simba ilipomsaini kutoka Oman. Lakini umuhimu wake, wameona waongeze mkataba wa mwaka mmoja wa mchezaji huyo kiraka.