Loading...

Kikosi bora cha FIFA msimu wa 2016/17


Wachezaji wa Real Madrid na Barcelona wametawala katika kikosi cha bora cha FIFA kwa msimu wa 2016/17, kukiwa hakuna mchezaji hata mmoja wa Ligi Kuu ya Uingereza aliyetokea kuiwakilisha Ligi hiyo katika kikosi hicho.

Wachezaji wanaounda Kikosi Bora cha FIFA msimu wa 2016/17
Nyota wa Paris St-Germain, Neymar, Golikipa wa Juventus, Gianluigi Buffon na Leonardo Bonucci wa AC Milan ndio wachezaji pekee wapya katika kikosi hicho ambao hawakufanikiwa kupata nafasi hiyo katika msimu uliopita.

Kikosi Bora cha FIFA msimu wa 2016/17
Kikosi bora cha FIFA msimu wa 2016/17 Kikosi bora cha FIFA msimu wa 2016/17 Reviewed by Zero Degree on 10/24/2017 12:55:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.