Loading...

Manji aachiwa huru kesi ya madawa ya kulevya


MFANYABIASHARA maarufu nchini, Yusuf Manji ameachiwa huru katika kesi ya madawa iliyokuwa ikimkabili baada ya mahakama kushindwa kuthibitisha madai hayo.

Akisoma huku hiyo Hakimu wa Mahakama ya Kisutu, Cyprian Mkeha amesema mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya upande wa mashtaka kushindwa kutoa ushahidi wa kujitosheleza hivyo mahakama hiyo kushindwa kuthibitisha iwapo Manji anatumia madawa ya kulevya.
Manji aachiwa huru kesi ya madawa ya kulevya Manji aachiwa huru kesi ya madawa ya kulevya Reviewed by Zero Degree on 10/06/2017 02:36:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.