Loading...

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine


Rais wa Jamhuri ya Muunagno wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Siza Donald Tumbo kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Utawala ya Chuo Cha ufundi Arusha (Arusha Technicla College-ATC).

Taarifa kamili iko hapo chini:


Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine Reviewed by Zero Degree on 5/14/2018 06:21:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.