Wambura atangaza kuachana na soka
IKIWA ni saa chache kabla ya kupanda kiznimbani, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura ametangaza kuachana na masuala ya soka kuanzia leo Jumanne, Februari 11, 2019.
Hata hivyo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfikisha Wambura katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za rushwa zinazomkabili.
Wambura atangaza kuachana na soka
Reviewed by Zero Degree
on
2/11/2019 12:20:00 PM
Rating: