Simba waonywa kwa Wawa
Kwa mujibu wa taarifa ya Bingwa, Bares ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha JKT Tanzania, alisema Simba inatakiwa kufanya usajili kulingana na hadhi ya mashindano ya kimataifa watakayoshiriki mwakani.
“Binafsi kwa msimu ujao sioni kama Wawa anastahili kuendelea kuwapo Simba, kwani licha ya uzoefu wa kimataifa alionao lakini bado ana mapungufu mengi ambayo hayapaswi kuonekana katika kikosi hicho mwakani,” alisema kocha huyo.
“Ushauri wangu kwa benchi la ufundi la Simba na viongozi kwa ujumla watakapotaka kufanya usajili waanze na beki ambaye Wawa anacheza kisha wakaongeze nguvu mbele, kwani Emmanuel Okwi naye ameonekana kuchoka hivyo anahitaji wa kumsaidia.”

Reviewed by Zero Degree
on
5/27/2019 11:35:00 AM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
5/27/2019 11:35:00 AM
Rating: