Kaseja: Sijawahi Kufundishwa Kudaka Penalti
Kaseja amesema hajawahi kufundishwa jinsi ya kudaka penati lakini kikubwa amekuwa akifanya mazoezi na zaidi ni kipaji alichobarikiwa ndicho kinamfanya awe hivyo.
Kwa upande wa Tanzania, mfunguzi alikuwa ni Erasto Nyoni kisha Himid Mao na msumari wa mwisho ukapachikwa na Gadiel Michael.
Tanzania inasonga mbele kwenye hatua ya makundi kwa ushindi wa penalti 3-0 baada ya dakika 120 kukamilika kwa kufungana bao 1-1 ambapo pambano la awali timu zote zilitoka sare ya mabao 1-1.
Kaseja: Sijawahi Kufundishwa Kudaka Penalti
Reviewed by Zero Degree
on
9/08/2019 06:55:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
9/08/2019 06:55:00 PM
Rating:
