Yanga yailaza Mbao FC Kirumba
Bao pekee la Yanga lilifungwa na Sadney Urikhob mnamo dakika ya 57 kipindi cha pili cha mchezo huo.
Yanga imefikisha pointi saba ikiwa katika nafasi ya 10 katika msimamo wa Ligi baada ya kucheza mechi nne. Simba inaongoza Ligi ikiwa na pointi 12 wakiwa na michezo minne, nafasi ya pili ikishikiliwa na Namungo FC wakiwa na pointi 10 wakiwa wamecheza michezo sita.
Yanga yailaza Mbao FC Kirumba
Reviewed by Zero Degree
on
10/23/2019 07:20:00 AM
Rating: