Mwakinyo atamba kumkalisha Tinampay
Pambano hilo la uzito wa kilo 69 la raundi 10 limepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, ambalo litatanguliwa na mapambano matano.
Akizungumza jana, Mwakinyo ambaye ameweka kambi yake mkoani Tanga, alisema maandalizi yake yanaendelea vizuri hivi sasa kwani anazingatia ushauri aliopewa na mwalimu wake ambapo amemtaka afanye mazoezi pamoja na kuchukua mapumziko.
Alisema naamini atampiga Tinampay kwani anaamini hakuna bondia anayeweza kumfikia kwa sasa kwa uwezo na kiwango alichonacho na lengo lake katika pambano hilo ni kuendelea kuweka rekodi za kuwapiga mabondia wa kubwa.
“Nataka kuendelea kufanya vizuri ndio sababu nimeamua kuja kuweka kambi huku ili kufanya maandalizi ya nguvu, naomba tu mashabiki na wadau wa ngumu wajitokeze kwa wingi siku hiyo kushukudia nikitoa kichapo kwa mpinzani wangu huyo,” alisema.

Reviewed by Zero Degree
on
11/14/2019 08:05:00 AM
Rating: