Loading...

Mtu mmoja azua taharuki kwa kuganda katikati ya barabara

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Timotheo, mkazi wa Babati, Mkoani Manyara leo amezua taharuki mapema leo baada ya kuonekana akiwa ameganda katikati ya barabara akiwa na mwamvuli huku akiongea mwenyewe.

Kwa mujibu wa mashuhuda, Timotheo ambaye ni mtayarishaji wa nyimbo za Dini kwenye maneno anayoongea amekuwa akitaja jina la mwanamke Mariam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mtu mmoja azua taharuki kwa kuganda katikati ya barabara Mtu mmoja azua taharuki kwa kuganda katikati ya barabara Reviewed by Zero Degree on 4/26/2024 03:26:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.