Loading...

Ajali ya basi yajeruhi watu 13 Mtwara


Watu 13 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria kampuni ya Selous Express kupinduka katika eneo la Mlesi, Masasi mkoani Mtwara.

Ajali hiyo imetokea leo Mei 5, 2024, saa nne asubuhi wakati basi hilo likielekea Mbeya kutoka Mtwara.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali, watu 13 wamejeruhiwa na kupelekwa katika hospitali ya Mkomaindo iliyoko Masasi kwa matibabu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Ajali ya basi yajeruhi watu 13 Mtwara Ajali ya basi yajeruhi watu 13 Mtwara Reviewed by Zero Degree on 5/05/2024 02:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.