Loading...

PICHA: Miaka 62 ya Chama Cha Masalaba Mwekundu (TRCS)


Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Aidha, maadhimisho hayo yameudhuriwa na washiriki kutoka nchi za Uganda, Spain, Botswana, Kenya, Ubeligiji na Qatar.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na viongozi, wadau na wananchi katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Chama Cha Msalaba Mwekundi Tanzania

MATUKIO KATIKA PICHA: Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Chama Cha Msalaba Mwekundi Tanzania inayofanyika leo Mei 11, 2024 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.














Kaulimbiu: “Natoa kwa furaha na furaha ninayotoa ni zawadi”.


PICHA: Miaka 62 ya Chama Cha Masalaba Mwekundu (TRCS) PICHA: Miaka 62 ya Chama Cha Masalaba Mwekundu (TRCS) Reviewed by Zero Degree on 5/11/2024 02:46:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.