Breaking: Yusuf Manji afariki dunia
Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku jijini Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu.
Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku jijini Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu. Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wake, Mehbub Manji akizungumza na Mwananchi Digital muda mfupi uliopita.
Breaking: Yusuf Manji afariki dunia
Reviewed by Zero Degree
on
6/30/2024 06:50:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
6/30/2024 06:50:00 PM
Rating:
