Jaji Mkuu katika banda la Nishati Sabasaba
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma akipata maelezo kuhusu kazi ambazo zinafanywa na Wizara ya Nishati wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Anayetoa maelezo ni Mhandisi Shukurani Rugaimukamu kutoka Wizara ya Nishati.
Jaji Mkuu katika banda la Nishati Sabasaba
Reviewed by Zero Degree
on
7/05/2024 02:17:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
7/05/2024 02:17:00 PM
Rating:

