Loading...

Rasmi: Chama amwaga wino Jangwani


Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo wa Kimataifa wa Zambia Clatous Chama.

Chama anajiunga na Yanga akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Simba.

Hili ni pigo kwa Simba kwani walikuwa wakipambana kumbakisha nyota huyo kikosini lakini wamekwama.

Unaweza kusema baada ya kuiota ndoto ya kuwa na Chama kwa muda mrefu hatimae Yanga wametimiza ndoto yao
Rasmi: Chama amwaga wino Jangwani Rasmi: Chama amwaga wino Jangwani Reviewed by Zero Degree on 7/01/2024 02:00:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.