Rais Samia amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TISEZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya kiuchumi Tanzania (Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority - TISEZA).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. Gilead John Teri ameteuliwa kuwa iliyoanzishwa kufuatia kutungwa kwa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Na. 6 ya mwaka 2025.
Rais Samia amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TISEZA
Reviewed by Zero Degree
on
7/01/2025 06:00:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
7/01/2025 06:00:00 PM
Rating:

