Loading...

CCM yafanikisha kuchangisha biliini 86.1

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

CCM yafanikisha kuchangisha Fedha kiasi cha Shilingi Billioni 86.1 kwa ajili ya kampeni za CCM za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, katika Harambee inayoendelea Katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar Es Salaam.leo 12 Agosti 2025.







CCM yafanikisha kuchangisha biliini 86.1 CCM  yafanikisha kuchangisha biliini 86.1 Reviewed by Zero Degree on 8/12/2025 07:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.