Loading...

Kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026


Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifastars) kitakachoingia kambini Septemba 2, 2025 kujiandaa na michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Congo Brazzaville na Niger kimetangazwa.



Kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Reviewed by Zero Degree on 8/31/2025 05:06:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.