Simba Day 2025 imekuwa ya kukumbukwa - Mo Dewji
Simba Day 2025 imekuwa ya kukumbukwa 🦁❤️
Shukrani za dhati kwa #Betway, wadhamini wetu wakuu, na washirika wote waliotuunga mkono. Pia tunawashukuru uongozi na Bodi ya Simba SC kwa juhudi kubwa za kuandaa Simba Day bora kuliko zote.
Na kwa mashabiki wetu wa nguvu, asanteni kwa kuujaza uwanja katikati ya wiki. Mmeonyesha kuwa Simba si timu pekee, bali ni nguvu isiyozuilika. Tunaunguruma siku yoyote, muda wowote. - ameandika Rais wa klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji.
Na kwa mashabiki wetu wa nguvu, asanteni kwa kuujaza uwanja katikati ya wiki. Mmeonyesha kuwa Simba si timu pekee, bali ni nguvu isiyozuilika. Tunaunguruma siku yoyote, muda wowote. - ameandika Rais wa klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji.
Simba Day 2025 imekuwa ya kukumbukwa - Mo Dewji
Reviewed by Zero Degree
on
9/12/2025 02:00:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
9/12/2025 02:00:00 PM
Rating: