Simba SC, Fadlu wafikia makubaliano ya kusitisha mkataba
Uongozi wa Klabu Simba SC umeueleza umma kuwa umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha mkuu Fadlu Davids baada ya kuhudumu na timu hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Uongozi wa Simba umeeleza kuwa makubaliano hayo yalikuwa ni matakwa binafsi ya kocha huyo kwa kwao.
Klabu ya Simba imetoa shukurani kwa kocha Fadlu kwa kuingoza Simba kufika hatua ya fainali ya kombe la Shirikisho Afrika na kumaliza nafasi ya pili katika ligi kuu ya NBC.
Simba SC, Fadlu wafikia makubaliano ya kusitisha mkataba
Reviewed by Zero Degree
on
9/22/2025 08:55:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
9/22/2025 08:55:00 PM
Rating:

