Loading...

Mhe. Zungu ameshiriki hafla ya maadhimisho ya siku ya kitaifa ya Qatar


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ameshiriki katika hafla ya maadhimisho ya siku ya kitaifa ya Qatar iliyofanyika tarehe 4 Disemba, 2025 katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam.

Hafla hiyo iliandaliwa na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Fahad Rashi Al-Marekhi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo mgeni rasmi Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu.













Mhe. Zungu ameshiriki hafla ya maadhimisho ya siku ya kitaifa ya Qatar Mhe. Zungu ameshiriki hafla ya maadhimisho ya siku ya kitaifa ya Qatar Reviewed by Zero Degree on 12/04/2025 05:39:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.