Haya hapa Matokeo ya Kidato cha nne (CSEE) 2025
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025 leo Januari 31, 2026 jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi 77 wamefutiwa matokeo ya kidato cha 4 kwa sababu za kuandika lugha chafu na wengine kwa udanganyifu katika mtihani, kati ya hao 47 kutoka kwenye vituo vya mtihani na 30 kutoka shule.
Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Profesa Said Mohamed, amebainisha haya wakati alipokuwa akitangaza matokeo hayo ya kidato cha nne Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha nne (CSEE) 2025
Reviewed by Zero Degree
on
1/31/2026 01:57:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
1/31/2026 01:57:00 PM
Rating:
