Loading...

Ripoti: Lingard asaini mkataba mpya na klabu yake ya Manchester United

Jesse Lingard kutumikia Manchester United kwa mapenzi ya mustakabali wake kkufuatia mkataba unaofanya awepo United hadi kufikia mwaka 2021, kwa mujibu wa Gazeti la The Sun.

Lingard mwenye umri wa miaka 24, alijiunga na klabu ya Manchester United msimu uliopita, na kashaicheza klabu hiyo katika mechi 40 katika mashindano yote.

Akifunga katika ngao ya hisani mwanzoni mwa msimu, Lingard ana magoli mawili aliyofunga katika Ligi ya Europa vilevile.

Lingard alijiunga na United mwaka 2000 kama mtoto alipokuwa na umri wa miaka 8, na ni miongoni mwa orodha ndefu ya wachezaji wenye thamani kubwa kama zao la Academy ya klabu hiyo.

ZeroDegree.
Ripoti: Lingard asaini mkataba mpya na klabu yake ya Manchester United Ripoti: Lingard asaini mkataba mpya na klabu yake ya Manchester United Reviewed by Zero Degree on 1/13/2017 05:47:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.