Loading...

Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 10


MTUNZI: MC Short Charles Gwimo

Ilipoishia..........Nilipoona Shamia anazidi kulegea huku udenda ukimtoka, nilijua keshazidiwa na yuko tayari kwa lolote. Nilimnong’oneza tutoke ukumbini ili tukamalize kiu yetu, naye hakunikatalia. Tulipotoka nje ya ukumbi, tulipokelewa na harufu tofauti za matunda kama vile mananasi, mapasheni, maembe ndizi n.k. Ikiwa ni ishara tosha kuwa Salama Kondom ‘soksi’ za kiume ziko ulingoni kuonesha watu wanajali.

Endelea nayo: Tulijipenyeza kwenye vichochoro vya madarasa ili tusionekane na watu ikawa soo kama wasemavyo watoto wa mjini huku nikiwa nimemshika Shamia kiuno ili aende sambamba na mimi kutokana na ugeni wake katika mazingira hayo. Tulitembea kwa uangalifu mkubwa sana ukizingatia maeneo ya vichochoro vyote kulikuwa na vagi za watu wawili wakiwa katika kupeana mahaba. Kuna waliokuwa kwenye mitindo ya mbuzi kagoma kwenda, chuma mboga, jitwangie na ule maarufu wa mwanaume kumlalia mwanamke juu, maarufu kama angani kuna nini. Nilishtuliwa na sauti kavu na ya ukali ikisema, “Oya! Nyie mabwege mbona mnatukanyaga wenzenu kama majani?” “Angalia tusizuliane tifu ukawa msala hapa. Hebu changanyeni mbarika zenu mtuondolee kiwingu.” Hii ilitokana na Shamia kuwakanyaga bila kukusudia kutokana na giza totoro lililokuwa limeuvaa mwanga wa umeme. Tulichochomba mpaka maeneo ya uwanja wa mpira kisha tukazama kichakani ili nasi tujilie vya kikubwa kama wenzetu tuluowapita vichochoroni.


********


Nilishusha pumzi nzito kisha nikamsogelea Shamia nakumvutia kifuani mwangu tayari kwa kumfanyia manjonjo ya kimapenzi ili alainike. Kwa kuwa wote tulikuwa wanafunzi wa tendo la ndoa lililotakatifu linalopigiwa upatu na viongozi wengi wa dini kwamba liheshimiwe na watu wote, hatukuwa na papara zaidi ya kusomana mchezo. Nilianza kumtomasa tomasa sehemu muhimu kama nilivyofundishwa na rafiki yangu kipenzi Mood. Nilianza mchakato wangu kwa kuviminyaminya vititi mchomoko vilivyosimama dede mithili ya jua la saa sita huku Shamia akigugumia kama mtoto asiyejua lugha. Niliyachezesha matiti yake kwa mtindo wa baba kanipa pipi kwa kuyanyonya kwa ufundi kama vile kichanga kinatafuta maziwa ya mwanzo kwa mamaye. Niliyazidisha manjonjo zaidi kwa kumfanyia “Massage” kwa kumkanda kanda maeneo ya mgongo hadi kwenye makalio tepwetepwe ili Shamia anipe namba za siri “Password” ya kulifungua kufuli la hazina yake. Niliyapasha joto makalio laini yaliyonifanya nipandwe na presha ya mapenzi zaidi ya awali. Nilipeleka mkono wangu wa kulia hadi bustani yake ilipo. Mkono ulianza kukutana na vinyweleo mithili ya nyasi zianzazo kuchipua mara baada ya kupitiwa na moto wa kiangazi alimaarufu kama “Muyonga” kwa wale wenzangu wa Kigoma. Vinyweleo vile vilivyokuwa na hali ya kuchomachoma vilinipa hamasa ya kulisogelea bonde husika kupitia vijaruba viwili vya shamba vinavyozunguka kwenye uelekeao wa bonde la ufa. Niliendelea kumnyanyasa kwa michezo tofauti kujifanya mzoefu kumbe ni mambo ya “Tuition Mapenzi” chini ya Simulizi za kungwi wangu Mood. Kidole kilipofika eneo nyeti kilikutana na maji tulivu yenye hali ya ujoto joto mithili ya Chemichemi ya maji moto ipatikanayo Mkoani Mara ingiwa utelezi nao haukuachia chembe ya nafasi. Kidole kilianza shughuli yake ya kutafuta chanzo cha Chemchem huku kikivuruga bonde kana kwamba ni mkulima wa mpunga yuko anavuruga majaruba ya mpunga kwa lengo la kupandikiza mpunga.

*******

Kidole kiliendelea kulivuruga bonde lote hadi pale maji ya bonde yalipobadilika nakuwa kama tope la udongo mfinyanzi. Nilianza kuona SHAMIA akilegea kama mlenda uliopata pishi la uhakika, huku akiongea kwa kigugumizi kisichorasmi. Dee…… Dee….. Devii, Sub… Subiria kidogo nikuvulie nguo zote ile usinichanie. Sikumpa muda anuai wa kuvua nguo zake za ndani zaidi ya kumnyenyua na kumbwaga chini kitendo ambacho kilimfanya agugumie kwa maumivu ingawa sikukusudia kuyafanya hivyo. Nilimvua chapu chapu nguo zake za ndani mithili ya fisi mwenye njaa kali akifumania mifupa. Nilimsaula nguo zote za chini na kumuacha na blauzi tu huku suruali yangu ikiwa nusu mlingoti yaani iliishia kwenye magoti. Nilimlalia kwa ufundi mkubwa ili nisiwe mzigo wa maudhi maungoni mwake. Niliishika chururu yangu na kuanza kuipigisha kwata juu ya bustani ya Shamia iliyokuwa imepogolewa nadhifu huku nikiyasugua sugua majaruba yake mawili kwa kifundo cha chururu kwa mtindo wa katerero ulio maarufu kwa wale watani wangu wajiitao “WASOMI” hata kama mtu aliishia darasa la kwanza.

******

Niliishika chururu yangu vizuri huku nikihakikisha haizami yote kwa Shamia ili nisimfikishe mwisho wa safari kabla sijakutana na chanzo halisi cha Chemchem yake. Chururu yangu ilikuwa ikiingia kwa kina cha urefu wa nchi tatu tu kutoka kwenye mlango wa kuingilia kwani ndizo sehemu muhimu ziletazo kiburudisho kwa mtoto wa kike. Shamia alianza kujikunja kunja kama karatasi la mfuko wa nailoni uliopitishwa karibu na moto ikiwa ni ishara ya yeye kufika kileleni mwa safari yake. Alianza kugugumia kwa sauti ya chini, mmmmmh! mmmmh! namalizaaaah! Kabla hajamalizia neno namaliza, nilimbana sawasawa ili tumalize zoezi kwa pamoja. Niliongeza mwendo kasi kwa kuchanganya mafuta na kubaadili gia angani kwa angani bila kujali kuwa mahali tulipo sio salama. Ungebahatika kutufumania kwa uficho ungejionea jinsi makalio yangu yalivyokuwa yakipanda na kushuka mithili ya 'piston'. Hatimaye zawadi ya ushindi ilihitimika kwa mshindo wa pamoja huku Shamia akiachia mayowe ya nguvu ya kumuita mama yake, “Mama nakufaaa”. Nilimziba mdomo ili asiendelee kupiga mayowe ingawa alining’ata kwa meno ili nimuachie.

*******

Shamia alikuwa akilia kwa mtindo wa kwikwi na kuvuta mafua huku akilalamika kumuondolea usichana wake ili hali yeye alikuwa amemuhifadhia mtu atakayekuja kumuoa iwe kama zawadi yake kwake. Nilimuahidi kwa kumpa maneno matamu kuwa asihofu kwani nitakuwa mume wake wa halali mara tutakapohitimisha safari ya masomo yetu. Nilimnyenyua kwa upole kimwana Shamia na kujitoa kwenye vichaka na kuelekea kwenye mwanga. Shamia alikuwa akitembea kwa kuchechemea huku michirizi ya damu ikijitokeza kwenye maeneo yake ya miguu ikijidhihirisha wazi kuwa kizinda chake kimekutana na dhoruba bila kutegemea. Kwa kuwa alikuwa akitembea kwa kuchechemea, nilimfundisha uongo wa kujitetea endapo kesho yake ataulizwa sababu ya kuwa na mwendo huo. Nilimwambia, “Endapo utaulizwa kulikoni, uwape majibu haya, ….nina tatizo la mguu ambao nilikwatuliwa ngwara na kijana nisiyemfahamu nilipomkatalia ombi lake la kucheza naye muziki….” “Kijana huyo sikumfahamu vizuri kwani alikuwa amevalia boshori ili kuficha uso wake” ……Nilimpeleka bwenini ili apumzike. Tulipoachana nilipiga ngumi hewani kama ishara ya ushindi kwa kuua tembo kwa ubua. Niliitoa shajara yangu ndogo na kuandika kumbukumbu ya tukio hilo ili ibakie historia ya uzinduzi wa mapenzi kwa kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na gashi mwenye kizinda. Sijui wewe mwenzangu una historia gani kwenye mahusiano. Nakuomba ujikumbushe ili upate kujichekea.

====>>Itaendelea Ijumaaa...

Usiikose SEHEMU YA 11>>> ya Riwaya hii ifikapo Ijumaa ijayo, na utaipata hapa Zero Degree pekee.
Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 10 Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 10 Reviewed by Zero Degree on 7/03/2017 03:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.