Loading...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NHC atumbuliwa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018.

Pia Mhe. Rais Magufuli ameivunja Bodi ya hiyo. Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NHC atumbuliwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NHC atumbuliwa Reviewed by Zero Degree on 3/21/2018 10:19:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.