Loading...

Van Gaal amtaka Martial kushambulia



Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal anahisi kuwa mchezaji Anthony Martial ataongoza safu ya mashambulizi katika siku za usoni.

Mchezaji huyo wa miaka 19, aliyesajiliwa kutoka klabu ya Monaco kwa pauni milioni 36, mnamo mwezi Agosti amefunga mabao matano msimu huu, lakini amekuwa akichezeshwa upande wa kushoto, ikiwemo mechi ya jumanne dhidi ya CSKA Mosco.
"ni kijana mdogo sana, lakini ni bora iwapo ataimarika kama mshambuliaji", alisema Van Gaal.

Credits: BBC
Van Gaal amtaka Martial kushambulia Van Gaal amtaka Martial kushambulia Reviewed by Zero Degree on 11/03/2015 07:43:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.