Mitandao ya kijamii inavyoweza kusababisha magonjwa ya akili
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pittsburgh cha Pennsylvania nchini Marekani kwa mwaka 2014, unaonyesha kuwa mitandao ya kijamii yanaweza kusababisha magonjwa ya akili, yakiwemo msongo wa mawazo na wasiwasi.
Inakadiriwa kuwa, asilimia 71 ya vijana wote duniani hutumia mitandao ya kijamii mara kwa mara kwa siku. Kwa wengine, simu zao za mikononi zinaonyesha njia rahisi ya kupata mitandao hiyo.
Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, Google Plus, LinkedIn, Badoo, Twoo na mengineyo kila siku, hutembelewa na vijana, kila baada ya dakika 10.
Ifuatayo ni mitandao duniani inayotembelewa zaidi duniani.
Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, Google Plus, LinkedIn, Badoo, Twoo na mengineyo kila siku, hutembelewa na vijana, kila baada ya dakika 10.
Ifuatayo ni mitandao duniani inayotembelewa zaidi duniani.
Mitandao ya kijamii inavyoweza kusababisha magonjwa ya akili
Reviewed by Zero Degree
on
4/29/2017 02:04:00 PM
Rating: