Orodha nyingine ya wanafunzi waliohitimu Kidato cha 6 waliochaguliwa kujiunga na JKT
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi Mei 2017 kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
Vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye kambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 13 Juni 2017 hadi tarehe 20 Juni 2017.
Mkuu wa JKT, kwa mara nyingine tena, anawakaribisha vijana wote waliochaguliwa ili waweze kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza uzalendo, umoja wa kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa letu.
Orodha kamili ya majinahayo iko hapo chini:
Orodha nyingine ya wanafunzi waliohitimu Kidato cha 6 waliochaguliwa kujiunga na JKT
Reviewed by Zero Degree
on
6/14/2017 08:36:00 PM
Rating: