Dereva na Konda wa basi la Osaka Raha mbaroni kwa kosa la kusafirisha bangi.
Aidha amesema kuwa,msako huo umefanikisha kumkamata mtu mmoja Bw,Yasini Salum (580) mkazi wa Sikonge akiwa na vipande 5 vya meno ya tembo vikiwa na thamani ya zaidi shilingi milioni 33,ambapo upelelezi unaendelea ili ijulikane alikuwa anayapeleka wapi na baadae atafikishwa mahakamani.
Kutokana na kufanikisha kukamatwa kwa vitu hivyo amewataka wananchi wa mkoani Tabora kushirikiana na Jeshi la Polisi ili kuokoa vijana na bangi pamoja na rasilimali za nchi.
Dereva na Konda wa basi la Osaka Raha mbaroni kwa kosa la kusafirisha bangi.
Reviewed by Zero Degree
on
6/14/2017 08:49:00 PM
Rating: