Loading...

Ratiba ya ligi kuu ya Uingereza [EPL] ya msimu wa 2017/18 imetoka


Ratiba ya ligi kuu ya Uingereza 2017-18 imetoka rasmi huku mabingwa watetezi klabu ya Chelsea ikiikaribisha Burnley katika mchezo wa ufunguzi utakao chezwa August 12-13.

Mabingwa wa Ligi kuu ya Uingereza [EPL] kwa msimu wa 2016/17
Newcastle ikiwakaribisha Tottenham, wakati Brighton ikiwa mwenyeji dhidi ya Manchester City na huku Huddersfield ikiwatembelea Crystal Palace.


 




Ratiba ya ligi kuu ya Uingereza [EPL] ya msimu wa 2017/18 imetoka Ratiba ya ligi kuu ya Uingereza [EPL] ya msimu wa 2017/18 imetoka Reviewed by Zero Degree on 6/14/2017 09:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.