Msanii Saida Karoli baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu huu ndio ujio wake tena ameachia hii video mpya ya wimbo unaitwa ‘Orugambo’, video imeongozwa na Hanscana.
Video: Saida Karoli na ujio mpya kwenye – 'Orugambo'
Reviewed by Zero Degree
on
6/14/2017 10:04:00 AM
Rating: 5