Video: Brazil walivyoilaza Australia kwa kichapo cha goli 4-0 wakiwa ugenini
Nchini Australia, Brazil wakiwa ni wageni wamewatandika wenyeji Australia bao 4-0 mbele ya Mashabiki wao lukuki.
Brazil wakicheza bila ya Nyota wao Neymar waliandika bao la kwanza kupitia Diego Souza na walifanikiwa kupachika Bao la Pili dakika ya 62 kupitia Thiago Silva na dakika ya 75 Taison akapachika bao la 3 na kisha Diego Souza kufunga ukurasa wa magoli kwa kuandika bao la nne dk 93 kipindi cha pili.
Brazil wakicheza bila ya Nyota wao Neymar waliandika bao la kwanza kupitia Diego Souza na walifanikiwa kupachika Bao la Pili dakika ya 62 kupitia Thiago Silva na dakika ya 75 Taison akapachika bao la 3 na kisha Diego Souza kufunga ukurasa wa magoli kwa kuandika bao la nne dk 93 kipindi cha pili.
Video: Brazil walivyoilaza Australia kwa kichapo cha goli 4-0 wakiwa ugenini
Reviewed by Zero Degree
on
6/14/2017 10:15:00 AM
Rating: