Tanzia: Kiungo wa Simba SC, Mo Ibrahim afiwa na mtoto wake
Kiungo wa klabu ya Simba, Mohammed Ibrahim |
Klabu ya Simba pamoja na mashabiki wa klabu hiyo wameungana na Watanzania wengine kumpa pole kiungo wao kwa pigo kubwa alilopata kumpoteza mtoto wake wa kiume ambaye bado alikuwa mdogo.
“Klabu ya Simba inatoa pole kwa kiungo wetu ‘Mohammed Ibrahim’ kwa kufiwa na mwanae mpendwa, tumeumia sote kwa msiba huu wa mtoto wetu mdogo kabisa. Klabu ya Simba inatoa pole kwa msiba huu mzito kwako na kwa famila nzima. Inna lillah wainna ilaihi Raajiun” alisema taarifa ya Simba.
Tanzia: Kiungo wa Simba SC, Mo Ibrahim afiwa na mtoto wake
Reviewed by Zero Degree
on
12/13/2017 12:02:00 PM
Rating: