Loading...

Rais Magufuli atembelea Ofisi ndogo ya CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula katika Ofisi Ndogo za chamahicho, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli jana alitembelea Ofisi Ndogo za chama hicho Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, kuona shughuli mbalimbali za chama hicho zinavyoendeshwa ikiwa ni pamoja na kutembelea ofisi yake ambapo aliongea na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa chama hicho Abdulrahman Kinana.

Rais Magufuli akiongea na Mangula
Akiagana na viongozi hao wa CCM
Rais Magufuli atembelea Ofisi ndogo ya CCM Rais Magufuli atembelea Ofisi ndogo ya CCM Reviewed by Zero Degree on 5/12/2018 04:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.