Loading...

Mkorea wa Spurs aipagawisha Bayern Munich

Hueng-min Son
Klabu ya Bayern Munich inaripotiwa kuanza mchakato wa kuwania saini ya nyota wa Tottenham HotSpurs, Hueng-min Son.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na gazeti la The Sun, mabingwa hao wa Bundesliga wameanza mkakati huo baada ya kuenea kwa taarifa zilizodai nyota huyo anaweza asiende kulitumikia jeshi la taifa lake kwa mujibu wa sheria.
Mkorea wa Spurs aipagawisha Bayern Munich Mkorea wa Spurs aipagawisha Bayern Munich Reviewed by Zero Degree on 10/19/2018 06:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.