26 wafariki dunia kwenye ajali ya mashua ziwa Victoria
Shughuli za uokoaji zinaendela lakini naibu Inspekta mkuu wa polisi anayesimamia oparesheni hiyo Asuman Mugenyi anasema kuna uwezekano mdogo wa kupata manusura.
Anasema mashua hiyo ilikuwa inasafirisha zaidi ya watu 90 kwenda kisiwa kimoja katika ziwa Victoria.
Mashua hiyo iliyokuwa na watu waliokuwa wanaelekea sherehe, ilipata ajali katika kaunti ndogo ya Mpatta wilaya ya Mukono.
Prince David Wasajja, ndugu wa mfalme wa Buganda mfalme Kabaka Ronald Mutebi alikuwa pia kwenye mashua hiyo lakini aliokolewa.

Chanzo: BBC
26 wafariki dunia kwenye ajali ya mashua ziwa Victoria
Reviewed by Zero Degree
on
11/25/2018 12:35:00 PM
Rating: