AU yaionya Burundi dhidi ya waranti wa kumkamata Buyoya
Pierre Buyoya |
Wanalaumiwa kwa mauaji ya mwaka 1993 ya rais wa kwanza aliyechaguliwa nchini humo ambaye alitoka kabila la Hutu.
Kuuliwa kwa Melchior Ndadaye kulisababisha kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kuna hofu kuwa kumlenga Bw Buyoya ambaye ni kutoka kabila la Tutsi anayeishi nchini Mali kunaweza kuchangia kuzuka misukosuko ya kikabila.

Zaidi ya watu 300,000 wameuawa kwenye vita ya miaka 12 vya wenyewe kwa wenyewe kati ya jeshi lenye watutsi walio wachache na waasi wa Hutu.
Bw Buyoya ambaye alitwaa madaraka mara mbili ndani ya miongo mitatu iliyopita kwa msaada ya jeshi ni mwanadiplomasia anayeheshimiwa barani.

Zaidi ya watu 300,000 wameuawa kwenye vita ya miaka 12 vya wenyewe kwa wenyewe kati ya jeshi lenye wahutsi walio wachache na waasi wa Hutu. |
Awali alipinga vikali madai kuwa alihusika kwenye kifo cha Bw Ndadaye.
Buyoya 69, alihusika kwenye mchakato wa amani uliomaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe na kuongoza kuchaguliwa kiongozi wa zamani wa waasi wa Hutu Pierre Nkurunziza kuwa rais mwaka 2005.

Mchakato wa sasa wa amani unafuatia ghasia zilizoibuka na uamuzi wa Bw Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu mwaka 2015.
Alifanikiwa licha ya kushuhudiwa ghasia za kupinga uamuzi huo na jaribio la mapinduzi ambapo mamia ya watu waliuawa na wengine zaidi ya 400,000 kukimbia makwao.

Chanzo: BBC
AU yaionya Burundi dhidi ya waranti wa kumkamata Buyoya
Reviewed by Zero Degree
on
12/03/2018 01:01:00 PM
Rating: