Watuhumiwa wa mauaji ya watoto Njombe kortini
Watuhumiwa wengine ni Nasson Kaduma na Alphonce Danda. Nje ya mahakama hiyo ulinzi umeimarishwa huku askari wa Jeshi la Polisi wakitapakaa kila kona na msafara wa watuhumiwa hao ukisindikizwa na magari sita ya polisi.
Watuhumiwa wa mauaji ya watoto Njombe kortini
Reviewed by Zero Degree
on
2/12/2019 12:50:00 PM
Rating: