Ratiba ya Robo Fainali UEFA: United uso kwa uso na Barcelona
Manchester United ndio watakaoanzia nyumbani Old Trafford kati ya tarehe 9/10 Aprili 2019. Tazama droo yote hapa chini.
Droo hiyo, pia imepangwa na hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo, ambapo mshindi kati ya Barcelona na Man United atacheza nusu fainali na mshindi kati ya Liverpool na FC Porto.
Mshindi atakayepita kati ya Man City na Spurs atacheza dhidi ya Ajax au Juventus.
Mshindi atakayepita kati ya Man City na Spurs atacheza dhidi ya Ajax au Juventus.
Ratiba ya Robo Fainali UEFA: United uso kwa uso na Barcelona
Reviewed by Zero Degree
on
3/15/2019 03:35:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
3/15/2019 03:35:00 PM
Rating: