Neymar kukaa nje ya uwanja kwa wiki 4
Hili ni pigo kubwa kwa PSG ambayo msimu huu ilikuwa imeshaanza kuweka matumaini makubwa kwake kwa kuwa alishaanza msimu vizuri. Hata hivyo, daktari wa timu ya Taifa ya Brazil, Rodrigo Lasmar, amesema kuwa majeraha ya mchezaji huyo siyo makali sana.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27, alipelekwa moja kwa moja kwa daktari wake wa timu yake ya PSG. Juzi aliweka picha kwenye mtandao wake wa Instagram, akiwa kitandani huku akiwa amefunga bandeji ngumu. Mshambuliaji huyo alikosa michezo kadhaa ya mwanzoni mwa msimu huu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mguu wa kulia.
Neymar nje wiki 4 |
NEYMAR ni kati ya wachezaji waliofunga mabao mengi kwenye soka duniani. Wiki moja nyuma alifunga bao lake la 699 na hili ni bao la pili anafunga ndani ya wiki mbili mfululizo kwenye timu yake ya taifa.
Neymar kukaa nje ya uwanja kwa wiki 4
Reviewed by Zero Degree
on
10/17/2019 08:30:00 AM
Rating: