Loading...

Samatta afunga ndoa kimyakimya jijini Dar


NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunga ndoa usiku wa kuamkia (jana) Alhamisi Agosti 10, 2019 huko Mtoni Kijichi jijjni Dar es Salaam na mchumba wake Naima Omary ambaye pia ni mama wa watoto wake wawili.


Harusi hiyo ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wacheza soka, wasanii na watu wengi mashuhuri wakiwemo ndugu na marafiki.

Samatta afunga ndoa kimyakimya jijini Dar Samatta afunga ndoa kimyakimya jijini Dar Reviewed by Zero Degree on 10/11/2019 07:20:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.