Loading...

Tanzia: Mkurugenzi Mstaafu Usalama wa Taifa afariki dunia nchini Afrika Kusini

ALIYEKUWA kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Cornell Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia mchana wa leo, Jumatatu, Oktoba 7, 2019 mjini Pretoria, Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.

Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wake

Familia imethibitisha na kusema itatoa taarifa zaidi baadaye.
Tanzia: Mkurugenzi Mstaafu Usalama wa Taifa afariki dunia nchini Afrika Kusini Tanzia: Mkurugenzi Mstaafu Usalama wa Taifa afariki dunia nchini Afrika Kusini Reviewed by Zero Degree on 10/07/2019 04:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.