Loading...

Wanafunzi 10 Bora | Shule 10 Bora | Mikoa 10 Bora Kitaifa Matokeo Darasa la 7


Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi ambako mikoa ya kanda ya ziwa imeonekana kuongoza.

Katika matokeo hayo yaliotangazwa leo Jumanne Oktoba 15, 2019 nafasi ya kwanza hadi ya 10 katika orodha ya wavulana waliofanya vizuri zimeshikwa na wanafunzi kutoka katika mikoa ya kanda ya ziwa.






Wanafunzi 10 Bora | Shule 10 Bora | Mikoa 10 Bora Kitaifa Matokeo Darasa la 7 Wanafunzi 10 Bora | Shule 10 Bora | Mikoa 10 Bora Kitaifa Matokeo Darasa la 7 Reviewed by Zero Degree on 10/15/2019 02:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.