Tanzania yafikia uchumi wa kati
Benki ya dunia (WB) leo tarehe 1, Julai 2020 imeitangaza Tanzania kuingia nchi za uchumi wa kati.
Rais wa Tanzania John Magufuli ametumia akaunti yake ya twitter kuwapongeza Watanzania kwa hatua hiyo.
Rais amesema, "Leo tarehe 01 Julai, 2020 benki ya dunia imeitangaza Tanzania kufikia uchumi wa kati."
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli |
Rais amesema, "Leo tarehe 01 Julai, 2020 benki ya dunia imeitangaza Tanzania kufikia uchumi wa kati."
"Nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya. Huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumefanya. Tulipanga kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 lakini tumefanikiwa 2020. MUNGU IBARIKI TANZANIA," amesema rais Magufuli.
Tanzania yafikia uchumi wa kati
Reviewed by Zero Degree
on
7/01/2020 01:10:00 PM
Rating: