Yanga, Simba zafika ukingoni Caf
Mamelodi Sundowns imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Yanga Sc kwenye robo fainali.
FT: Mamelodi 🇿🇦 0-0 🇹🇿 Yanga Sc (Agg. 0-0)
Penalti ( 3-2)
Katika mchezo mwingine uliochezwa jana, mabingwa watetezi, Al Ahly wametinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 3-0 dhidi ya Simba Sc kwenye robo fainali.
FT: Al Ahly 🇪🇬 2-0 🇹🇿 Simba SC (Agg. 3-0)
Sasa timu zote za Tanzania zimetolewa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, CAF.
Penalti ( 3-2)
- 🇿🇦 Sundowns: ✅❌✅✅
- 🇹🇿 Yanga Sc: ❌✅❌✅❌
FT: Al Ahly 🇪🇬 2-0 🇹🇿 Simba SC (Agg. 3-0)
- ⚽ El Solia 48’
- ⚽ Kahraba (P) 90+8’
Sasa timu zote za Tanzania zimetolewa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, CAF.
Yanga, Simba zafika ukingoni Caf
Reviewed by Zero Degree
on
4/06/2024 10:05:00 AM
Rating:
